kuhusu usajili wa namba za tigo
Hi all
Wateja wa Tigo wapewe taarifa hii kutoka Tigo kuhusu swala la usajili kwamba
Ikiwa hawajasajili hadi leo waende wakasajili kwenye vituo vya karibu mapema iwezekanavyo kwa kuwa siku zimekwisha
Ikiwa watapata mesaji hii hapo chini pia wanatakiwa wafuate maelekezo yaliyopo kwenye meseji hiyo ili namba zao zisije zikasimamishwa kwa madai ya kwamba hazijasajiliwa.
Meseji hii inatumwa kwa wale wateja ambao hadi sasa namba zao hazijaingia katika orodha ya waliosajili namba zao hadi leo.
Ndugu mteja wa Tigo bado hujasajili namba hii, tafadhali jisajili leo. Kama ulijisajili zamani tuma neno JINA kisha jina lako kamili na namba ya fomu kwenda 106
Tigo tunawashukuru sana watanzania kwa ushirikiano wao mkubwa katika zoezi hili la kusajili namba zao za simu
Asanteni sana
Meneja uhusiano wa Tigo
Jackson Mmbando
No comments:
Post a Comment