Kushoto ni mwanamitindo maarufu hapa Tanzania Fideline halafu Asia Idarous kutoka Fabak Fasions kisha King Kif kutoka http://www.kingkif.blogspot.com.ilikuwa/ siku ya Jumamosi usiku kwenye a Fashion for Education Benefit ililoendeshwa na mwanamitindo Ally Remtullah wakati wa maonyesho ya mavazi ya Ally Remtullah yaliyofanyika katika Hoteli ya Double Tree Hilton , Masaki , jijini Darisalaam .Onyesho linatambulika kwa jina la “Fashion For Education Benefit”, ni mradi uliodhaminiwa na kampuni ya simu za mikonnoni ya Zain, ukiwa na lengo la kufanya maonyesho mbalimbali ya mavazi ili kuchangia kuinu elimu huko Kisalawe, mkoani Pwani.
No comments:
Post a Comment