Monday, June 14, 2010

Rais Karume Afungua Mkutano wa Siku Tano Mjini Arusha Leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akifungua Mkutano wa siku 5 kuhusu,miradi ya Jamii kwa nchi zinazoendelea,katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha leo,mkutano huo umewashirikisha wajumbe wa nchi 45 Dniani.




Baadhi wajumbe wapatao zaidi ya 200,kutoka nchi 45 Duniani walioshiriki katika mkutano unaozungumzia kuhusu miradi ya jamii kwa nchi zinazoendelea wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,aliyoitoa akiufungua mkutano huo katika ukumbi wa AICC Arusha leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akifuatana na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Utawala bora Sophia Simba,wakiingia katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC Arusha,kuufungua Mkutano wa siku 5 kuhusu,miradi ya Jamii kwa nchi 45 zinazoendelea,jana, PIcha na Ramadhan Othman Arusha.

No comments:

Post a Comment