Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za Mwisho kwa marehemu Millie Benjamin Mengi huko Machame,Moshi jana mchana.Marehemu Millie Benjamin Mengi ni mke wa Bwana Benjamin Mengi ambaye ni mdogo wa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi.Anayefuata nyuma ya Rais Mwenye tai nyekundu ni Bwana Benjamin Mengi mume wa Marehemu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Bi.Millie Benjamin Mengi wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika huko Machame,Mkoa wa Kilimanjaro jana mchana. Marehemu Millie Benjamin Mengi ni mke wa Bwana Benjamin Mengi ambaye ni mdogo wa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Bwana Reginald Mengi.
(picha na Freddy Maro).
(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment