Shirika la utangazji nchini TBC leo katika uwanja wa TAIFA JIJINI DSM linazindua matangazo ya kombe la DUNIA .
Uzinduzi huo unafanyika huku TBC ndiyo chombo pekee hapa nchini kupata haki ya kurusha fainali za kombe la hilo nchini AFRIKA KUSINI kuanzia JUNI 11 hadi JULAI 11 mwaka huu.
Katika kufanikisha yote hayo , TBF imeandaa sherehe za uzinduzi huo ambapo watanzania wote watafika katika uwanja wa TAIFA jijini Darisalaam bila kiingilio chochote kujionea uzinduzi huo.

No comments:
Post a Comment