Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinbduzi Dk Amani Abeid Karume, akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka Zanzibar National Chamber of Commerce Industries and Agriculture (ZNCCIA) katika Ukmbi wa Salama Hotel, Bwawani, ambapo mkutano huo utakuwa na Uchaguzi wa kumpata Rais mpya wa Jumuiya hiyo.
Kulia ni Rais wa Jumuiya hiyo anayemaliza muda wake,Abdallah Abass na (kushoto) ni Waziri wa Biashara,Uwekezaji na Utalii, Mh. Samia Suluhu Hassan. Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar
Kulia ni Rais wa Jumuiya hiyo anayemaliza muda wake,Abdallah Abass na (kushoto) ni Waziri wa Biashara,Uwekezaji na Utalii, Mh. Samia Suluhu Hassan. Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar
No comments:
Post a Comment