King Kif kutoka www.kingkif .blogspot.com (kushoto) akiwa na Amri Salim ambaye ni Mkurugenzi Kiu Investment Co LTD kampuni ambayo inaendesha gazeti la Kiu ya Jibu linalotinga sokoni kila siku ya Jumatatu na Ijumaa .Ni jana usiku Club Bilicanas ,kila siku ya Jumatano bendi ya African Stars ama Twanga Pepeta utumbuiza ndani ya ukumbi huo wa kisasa.
No comments:
Post a Comment