Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mawaziri TAMISEMI Dodoma kabla ya waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo kwenda Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2010- 2011 Mjini Dodoma Jana 10.6.2010 JUMA KENGELEIKULU.
No comments:
Post a Comment