Tuesday, June 1, 2010

MSAMA PROMOTIONS .....TUPO HAPA!

Hapa ni mtaani Kumbukumbu , block 41, Kinondoni, jijini Darisalaam.Hili bango linaelekeza ofisi zetu zilipo, karibuni

Hii ni tisheti mojawapo ambayo huwa ina valiwa na wafanyakazi wakiwa kazini

Haya sasa piga simu chap chap!



1 comment:

  1. Mr Msama, tafadhali tunaomba sana sana, teeena sana kabiksa, mkaribisheni na Pastor Kashumba Basil aliyekuwa akifahamika kama K'Bazil wakati akiimba muziki wa Bongo Flavour.K'Bazil pia ameokoka tangu 2008 na kwa sasa ni Mchungaji katika kanisa la Ufufuo Na Uzima kwa Pastor Josephat Gwajima, Dada Rose Muhando anamfahamu vizuri na wanafahamiana sana na K'Bazil. Anaimba nyimbo za Injili pia na tumeusikia wimbo wake unaitwa namjua Niliye Nae kwenye Wapo Radio na Praise Power.Ni mzuri kwa kweli na unabariki.K'Bazil amewahi kuimba na Stara Thomas wimbo unaoitwa Riziki wakati wakiwa hawajaokoka walipokuwa wanaimba Bongo Flavour.Tutafurahi kama mtawakutanisha wakali hao wa Muziki katika Tamasha la Pasaka kwa sasa wakiwa wanaimba kumtukuza Mungu

    ReplyDelete