Saturday, June 5, 2010

UTAMBULISHO WA BWAGAMOYO SOUND WAFANA


Bendi ya Bwagamoyo Sound jana ilifanikiwa kujitambulisha vema kwa mashabiki katika ukumbi wa Vatican City Sinza jijini Darisalaam.

No comments:

Post a Comment