Tuesday, June 15, 2010

Rais Kikwete Ziarani Kigoma Azindua Lake Tanganyika Hotel



Rais Jakaya mrisho Kikwete akisalimiana na mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Lake Tanganyika mjini Kigoma muda mfupi baada ya kuifungua leo mchana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi hoteli ya Lake Tanganyika mjini Kigoma leo mchana.Kushoto ni Mmiliki wa hoteli hiyo Bwana George Nzunda na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Simbakalia.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment