Monday, June 7, 2010

RAIS JAKAYA ASHIRIKI SHEREHE ZA NGOMA BUJORA-MWANZA



Rais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Padri Sandu Nicasius Kiongozi wa makumbusho ya kihistoria ya kabila la Wasukuma Watemi Walijenga kibanda na kuandika majina njia ambayo walitumia kujifunza kuhesabu makumbusho hayo yanajulikana kama
[Bujora wasukuma museam] Picha na Juma Kengele




Rais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Padri Sandu Nicasius Kiongozi wa makumbusho ya kihistoria ya kabila la Wasukuma Silaha za jadi walizokuwa wanatumia Watemi hao Rais Kikwete alitembelea makumbusho hayo na baadaye kushiriki kwenye sherehe za Bulabo zilizofanyika kwenye uwanja wa Kisesa Magu Mkoani Mwanza.

No comments:

Post a Comment