www.umemeforum.blogspot.com
Blog hii ni kwa ajili ya wadau mabalimbali wa umeme wa ndani na wa nje ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Blog hii inatoa fursa na uhuru wa wananchi na wateja wetu kutoa maoni yao juu ya huduma za Shirika kwa lengo la kuboresha na si kubomoa.
Blog hii inapokea maoni ya kila aina na changamoto zenye kujenga. Lugha inayoruhusiwa ni ya Taifa (Kiswahili) fasaha au Kiingereza. Lugha ya Matusi si ustaarabu. Uhuru wa kutoa maoni si uhuru wa kutukana.
TANESCO – Tunayaangaza Maisha Yako.
Kazi Njema.
No comments:
Post a Comment