|
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya jogoo aliyopewa na wazazi wa kijana Abbas Maluka wanaoishi katika kijiji cha Nangalu huko Lindi Vijijini. Abbas anasoma mwaka wa kwanza huko Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Mama Salma anamsaidia kijana huyo kumlipia ada ya chuo kutokana na wazazi wa Abbas kukosa uwezo wa kulipa. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za WAMA tarehe 11.11.2010. |
Chanzo ni http://mawasilianoikulu.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment